Monday, May 4, 2009

Namna ya kutafuta ajira au kujiajiri.

Kuna njia mbalimbali ambazo watanzania wakizitumia waweza kuondokana na umasikini haswa vijan kuanzaia wenye elimu ya msingi ya kati ya juu na hata wale waliosoma taaluma mbalimbali katika ngazi za vyeti na vinginevyo.

Fuatilia mtiririko huu uweze kuona ni jinsi gani haya yanawezekana kwani sehemu mbalimbali yamewezekana.

No comments:

Post a Comment